Katika Video 3 tunafungua “New Document” window na kuelezea kwa vitendo maana ya kila sehemu: Recent, Saved, Print, Web, Mobile, etc. Tuna-cover pia workspace settings — dimension size, resolution, color mode (RGB/CMYK), orientation, naming, na kisha kufika kwenye karatasi nyeupe (blank workspace) tayari kwa kuanza kutengeneza design. Hii ndiyo stage kabla ya kuanza “actual designing” ambayo itaendelea kwenye Video 4. Tunaendelea kujenga msingi wa kuwa PRO step by step.











